MPENZI wa staa wa Bongo Fleva nchini,
Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' Zarinah Hassan 'The Boss Lady' amemtakia
heri ya kuzaliwa wifi yake Esma kupitia akaunti yake ya Instagram huku
post yake ikizua jambo kwa mashabiki.
Zari ambaye bado yupo Bongo, katika
post yake hiyo awali aliandika 'Happy bday to my lovely shemeji wifi'
ila baadaye aliamua kubadilisha baada ya baadhi ya mashabiki wake
kumkosoa huku wengine wakidai anatafuta kiki na baadhi wakimtolea maneno
ya kuudhi. Usahihi alitakiwa kutumia neno WIFI na siyo SHEMEJI ambalo
huwa linatumika kwa mvulana!
Esma ni dada wa Diamond ambaye ameolewa na Petiti Man.
Zifuatazo ni baadhi ya comments kutoka kwa mashabiki kuhusu post hiyo:
Post a Comment