Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM,Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akilakiwa na maelfu ya wananchi wakati akiingia katika uwanja
wa MajiMaji mjini Songea leo kuongoza kilele cha sherehe za
kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.
Mwenyekiti
wa Chama Tawala cha CCM,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa viongozi
mbali mbali wa CCM wakati akiingia katika uwanja wa MajiMaji mjini
Songea leo kuongoza kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya
kuzaliwa kwa CCM.
Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM,Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na UVCCM
katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo katika kilele cha sherehe
za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.
Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais,Jakaya Mrisho
Kikwete pamoja na viongozi wengine wa CCM wakipokea gwaride la heshima lililoandaliwa na UVCCM katika
uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo katika kilele cha sherehe za
kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.
Gwaride
la lililoandaliwa na UVCCM likitoa heshima kwa viongozi katika uwanja
wa MajiMaji mjini Songea leo wakati wa kilele cha sherehe za kuadhimisha
miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.
Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM,Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akihutubia maelfu ya wananchi kwenye uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo
katika kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.
Msanii Diamond akipongezwa na chipukizi wa UVCCM baada ya
kutumbuiza katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo katika kilele
cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.
Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akipokea wanachama wapya akiwa na Mbunge wa Songea Mjini Dkt Emmanuel
Nchimi na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika uwanja
wa MajiMaji mjini Songea leo,katika kilele cha sherehe za
kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.
PICHA NA IKULU.
Post a Comment