Katika mitoko yako ya weekend hii usije
kushtuka utakapokutana na couple fulani ya ‘Ameizing’ ya TZ+UG, sababu
Zari Tlale a.k.a The Boss Lady yupo ndani ya jiji la Dar au kama
anavyopaita mrembo huyo D-City.
Kupitia Instagram mrembo huyo wa Uganda
ambaye makazi yake yako Afrika Kusini amepost picha kadhaa akiwa na
mpenzi wake Diamond Platnumz kwenye Gari aina ya BMW
Licha ya sasa kuwa Diamond na Zari
wanajulikana kuwa nai wapenzi lakini wanapoulizwa juu ya Uhusiano wao
wamekuwa wakikanusha na kusisitiza kuwa wanaproject ya pamoja.Lakini
safari hii amethibitisha mwenyewe kwa kauli yake baada ya kumuita
Girlfriend wa dancer wa Diamond 'wifi'
Kwenye picha aliyopiga na msichana huyu zari ameandika "with wifi@jujudumz Ount about D-City"
Post a Comment