Alichoandika Nape Nnauye, kuhusiana na Kuachia ngazoi kwa Mwenyekiti(UVCCM) Mkoa wa Arusha ni hiki hapa

Baada ya Mwenyekiti wa Umoja wa vijana Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Arusha (UVCCM ), James Ole Milya kutangaza kuachia Gamba,Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye ameandika hivi katika status yake kwenye mtandao wa jamii (Facebook.)

Post a Comment

Previous Post Next Post