JIsachi ilimtambulisha vilivyo, Hakuishia hapo, aliwakumbusha pia vijana kujituma si Mwingine ni Geez Mabovu na wimbo wake wa kitambo Mtoto wa kiume ambao leo ninawakumbusha usikilize.

Pamoja na kutoka na wimbo wake Jisachi na kumtambulisha vizuri sana katika soko la Mziki, Msanii Geez Mabovu, akuishia hapo, aliwakumbusha watoto wa kiume kuwa wajitume katika kufanya kazi ili wapate riziki ya kila siku na wasibweteke na kungojea kulishwa tu, Ni nyimbo ya muda mrefu kidogo ambayo leo nimeamua kuwakumbusha, Inaitwa Mtoto wa Kiume --> Tusikilize kazi ya Geez Mabovu kutoka Iringa hapo chini.

Post a Comment

Previous Post Next Post