KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA WATAALAMU WA MAABARA ZA AFYA TANZANIA

KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA WATAALAMU WA MAABARA ZA AFYA TANZANIA

Mkurugenzi Msaidizi wa Tiba Magonjwa yasiyoambukiza wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Ayub Mgimba akihutubia wakati wa kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Wataalamu wa Maabara za Afya Tanzania, leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salam.
                 Baadhi ya wageni waalijkwa wakipungia kukaribisha maandamano wakati wa kilele hicho
                              Viongozi walokuwa meza Kuu wakikaribisha maandamano
                                      Maandamano aykielekea viwanja vya Mnazi Mmoja
 Brass Band ya Polis ikiongoza maandamano hayo, yaliyoanzia Amana Hospitali kwenda viwanja vya Mnazi Mmoja

                                           Mtoto muuza mayai akiungana katika maandamano hayo
 Mgeni rasmi, Dk. Mgimba (katikati)  akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa cha hicho


Post a Comment

Previous Post Next Post