Mgeni
Rasmi katika Kongamano la Makatibu Muhtasi nchini linalofanyika leo kwenue
Ukumbi wa Hoteli ya Malaika Jijini Mwanza,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu -
Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu (katikati) akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa
Mwanza,Eng.Evarist Ndikilo pamoja na wadau wengine
wa Kongamano hilo wakati akiwasili.
Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Muhtasi
Tanzania (TAPSEA),Pili Penda akitoa maelezo mafupi ya Kongamano hilo kwa Mgeni
rasmi ambaye ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na
Uwezeshaji Dk. Mary Nagu wakati wa ufunguzi uliofanyika leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika Beach Resort,Jijini
Mwanza.
Mkuu wa
Mkoa Mwanza,Eng.Evarist Ndikilo akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa
Kongamano la Pili la Makatibu Muhtasi nchini Tanzania (2th National Secretarial
Confrerence) linaloendelea hivi sasa kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya
Malaika Beach Resort,Jijini Mwanza.
Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Muhtasi
Tanzania (TAPSEA),Pili Penda (kulia) akimpokea Mgeni
Rasmi katika Kongamano la Makatibu Muhtasi nchini linalofanyika leo kwenue
Ukumbi wa Hoteli ya Malaika Jijini Mwanza,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu -
Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu akitoa
hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Pili la Makatibu Muhtasi nchini
Tanzania (2th National Secretarial Confrerence) linaloendelea hivi sasa kwenye
ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika Beach Resort,Jijini
Mwanza.
Muwakilishi
wa Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma,Mama Wanderage akitoa salamu za Mkuu huyo
wa Chuo kwa Makatibu Muhtasi waliopo kwenye Kongamano hilo.
Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Muhtasi
Tanzania (TAPSEA),Pili Penda akimpatia Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu Tuzo ya
heshima kwa uwepo wake kwenye Kongamano hilo leo.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu akiionyesha
tuzo ya heshima aliyokabidhiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Muhtasi
Tanzania (TAPSEA),Pili Penda
Dk.
Mary Nagu akisalimiana na Baadhi ya washiriki wa Mkutano huo.
Ephraim Kibonde ambaye ndie Mc wa Kongamano
hili akifungua rasmi

















Post a Comment