LULU AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA MADAI KUMUUA KANUMBA


Siku Moja baada ya marehemu Steven Kanumba kuzikwa mtuhumiwa namba moja katika kifo cha Kanumba msanii wa filamu Elizabeth Maiko maarufu - Lulu afikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka ya mauaji kuhusiana na kifo cha Steven Kanumba.

Post a Comment

Previous Post Next Post