Golden Teacher ni msanii wa kizazi kipya ambaye ana fani ya Ualimu na Kibao chake cha Carolina.



Golden Teacher ni Mwanamuziki wa kizazi kipya kutoka Mkoa Mpya wa SIMIYU pia ni Mwalimu aliyejitambulisha na nyimbo yake Carolina aliyoifanyia Tetemesha record Chini ya Producer wake Kidbway.
Kwa kumpa Support sikiliza na Download hii nyimbo inayoenda kwa jina la Carolina.


Post a Comment

Previous Post Next Post