Ni Wimbo wa muda Mrefu kidogo lakini mashairi yake yameenda Shule, Wimbo wa Jahazi Moden Taarabu - HAYANIFIKI.
Hisia0
Ni wasanii wa Jahazi Moden Taarabu na wimbo wao HAYANIFIKI, nia ni kuonyesha radha tofauti ya music hapa Nchini Tanzania, Ni wimbo ambao hadi leo unakimbiza na unafanya vizuri Sokoni, Mirindimo ya Pwani. Unaweza kusikiliza hapa:-
Post a Comment