SEMINA YA MAADHIMISHO YA AFYA DUNIANI YAFANYIKA JIJINI DAR




SEMINA YA MAADHIMISHO YA AFYA DUNIANI YAFANYIKA JIJINI DAR

Mkurugenzi wa utafiti tathimini na sera Bw.Ansgar Mushi akiongea katika semina ya waandishi wa habari leo katika ukumbi wa DICC jijini Dar es salaam, ambayo ilikuwa ni maalum kwa ajili yamaadhimisho ya siku ya afya duniani .
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Waandishi wa habari walioudhuria katika semina hiyowakisikiliza mada zilizokuwa zikitolewa katika semina hyo.
Habari kwa Hisani ya FULL SHANGWE.

Post a Comment

Previous Post Next Post