Washindi wa Tuzo za Kili Music Awards waifunika dodoma

 Umati wa Wakazi wa Dodoma na Vitongoji Vyake wakiwa kwenye Show ya Washindi wa Tuzo za Kili Music Awards iliyofanyika Jana katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma. Kwa mapicha zaidi ya Josephat Lukaza wa UDOM

Post a Comment

Previous Post Next Post