WATU WATATU WAUAWA KINYAMA ARUSHA
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo (kushoto) akiangalia miili ya watu wanne waliouawa kinyama na kutupwa maeneo tofauti. Katikati ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Thobias Andengenye (wa pili kushoto) akiwa na maofisa usalama katika eneo la kuhifadhia maiti jana katika Hospital ya Mkoa, Mount Meru. (PICHA NA MAHMOUD AHMAD) maiti wakiwa wamelundikwa kwenye gari la polisi baada ya kugundulika wametupwa maeneo mbalimbali wilayani Arumeru jana picha zote na Mahmoud Ahmad Arusha.
Chanzo:- Kamanda wa Matukio Blog
Post a Comment