Ziara ya Rais Dk Shein kisiwani Pemba

                               Ziara ya Rais Dk Shein kisiwani Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na wananchi waliojitokeza
kumpokea katika uwanja wa karume Pemba alipowasili kisiwani humo kwa
ziara maalum kuangalia maendeleo katika sekta mbali mbali za kijamii.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mtoto Suleiman Shaaban
Juma,pamoja na wanachama wa Kampuni ya Mkipi  Miliki Tungamaa,kuzindua
Mradi wa uzalishaji wa sabuni kwa kutumia mashine maalum ya Mkipi
Miliki,jana akiwa katika ziara kisiwani Pemba,kuangalia maendeleo ya
jamii.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,  akikata utepe kuashiria uzinduzi wa
Mpango wa kuanzisha bednki ya Jamii ya Muwape Saccos Mtemani Wete
Pemba, alipokuwa katika ziara ya kuangalia maendeleo katika sekta
mbali mbali za Kijamii Mkoani humo,(kulia) Mize Khamis.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,akiangalia Sabuni iliyotengenezwa katika
kampuni ya Mkipi Miliki Tungamaa,ambayo inayozalisha sabuni kwa
kutumia mashine maalum,alipokuwa katika ziara ya kutembelea maendeleo
katika Mkoa wa Kaskazini Pemba,(kulia) Mkurugenzi Mkuu  George
M.Buchwafwe.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
MapinduziDk.Ali Mohamed Shein,  akizungumza na watendaji wa Mkoa wa
Kaskazini Pemba,wakati alipofanya ziara ya kuangalia maendeleo katika
sekta mbali mbali za Mkoa huo,katika ukumbi wa Jamhuri Hall Wete Pemba
jana,(kulia) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Pemba Hamadi Mberwa
Hamadi,na (kushoto) Mkuu wa Mkoa huo Dadi Faki Dadi.

Post a Comment

Previous Post Next Post