BASI LA SUMRY LAPATA AJALI MUDA SI MREFU NJE KIDOGO NA DODOMA LAWAKA MOTO , ZIMA MOTO LAWAHI KUOKOA
![]() |
BASI LA SUMRY LIKIWA LINAUNGUWA - DODOMA YETU PICTURES |
BASI
LA SUMRY LIMEPATA AJALI MUDA HUU NJE KIDOGO NA DODOMA MPAKA SASA
HAIELEWEKI LILIKUWA LINATOKEA WAPI NA KUELEKEA WAPI, TAARIFA ZA HIVI
PUNDE ZINASEMA KUWA ZIMA MOTO LIMEFIKA ENEO LA TUKIO NA SHUGHULI YA
KUZIMA MOTO HUO KATIKA BASI ZINAENDELEA MPAKA MUDA HUU HAILEWEKI BADO
KAMA KUNA MAJERUHI AMA MAAFA YOYOTE YAMETOKEA ENDELEA KUFUATILIA MTANDAO
HUU.
Chanzo:- Dodoma yetu
Post a Comment