Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi Sinare Maajar akipata picha ya pamoja na Mbunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Peter Msigwa ndani ya Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani
Baada
ya kazi pevu ya uzinduzi wa tawi la Chadema jijini Washington Dc
wabunge wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamtembelea rasmi
Balozi wa Tanzania nchini Marekani.
Wabunge
wa Chadema Mhe. Peter Msigwa wapili kushoto, Mhe. Nassari Joshua,
Al-Marufu Dogo Janja, (Watatu kulia), ofisa wa ubalozi Mhe. Peter
Msigwa, Kaimu Balozi Mhe Lilian Munanka pamoja na viongozi wa tawi la
Chadema Washington Dc wakipata picha ya pamoja na balozi Mhe. Mwanaidi Sinare Maajar baada ya kumtembelea rasmi siku ya Jumanne Mei 29,2012 Washington Dc Nchini Marekani.

Mbunge
wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mhe. Peter Peter
Msigwa akipata picha ya pamoja na waTanzania waishio nchini Marekani,
ndani ya Ubalozi wa Tanzania Washington Dc. (Picha na
swahilivilla.blog)
Post a Comment