MKUTANO WA JUMUIYA YA MADOLA WAENDELEA NCHINI
Katibu Mkuu wa CCM,Wilson Mkama akizungumza na wana habari.
Mbunge
wa Ubungo Mh John Mnyika akizungumza na waandishi wa habari wakati wa
mkutano wa jumuiya ya madola kujadili maswala ya Bunge, Serikali pamoja
na vyama vya upinzani.
Mgeni
Mwalikwa katika Mkutano wa jumuiya ya Madola aliyekuwa Rais wa Nchi ya
Ghana Bw. Jerry Rawlings kushoto akizungumza na waandishi wa habari Dar
es salaam leo katika mkutano wa jumuiya ya madola kujadili Bunge
Serikali pamoja na vyama vya upinzani katika jumuiya hiyo.
Viongozi wakiwa katika picha ya pamoja.
Habari na matukio
Habari na matukio
Post a Comment