
Huku wimbi la utapeli likizidi kuwaandamana wasanii, mwanadada Dayna nae nusura kuingizwa mjini na mtu aliye jifanya ni msnii huyo kwa kutaka kujipatia pesa za shows.
Akiongea na Bongo5, Dayna amesema alijulishwa na watu wake wa karibu
kwamba kuna mtu anatumia namba yake na kujifanya ni yeye. alipochukua
uamuzi wa kupiga namba yak, aligundua ni kweli na alipozungumza na dada
huyo na kumdanganya anampa show,alijidai yupo Morogoro anamuuguza dada
yake.
Dayna ameshawajulisha wahusika wake na vyombo vya dola kusudi mtu huyo achukuliwe hatua.
Dayna amethibitisha Hapa Bongo5 na kutoa no ya huyo anayejiita Dayna feki mmumepuke, namba anayotumia tapeli huyo ni 0752872307
Chanzo:- Bongo 5
Post a Comment