PETER MWENDA WA GAZETI LA MAJIRA AFIWA NA MDOGO WAKE

PETER MWENDA WA GAZETI LA MAJIRA AFIWA NA MDOGO WAKE

 Mwandishi wa Habari Mwandamizi wa gazeti la Majira, Peter Mwenda na mkewe akiweka shada la maua kwenye kaburi la mdogo wake, marehemu Antony Mwenda katika makaburi ya Kivule, Dar es Salaam juzi.
 Vijana marafiki wa marehemu Antony Mwenda, wakisawazisha udongo, wakati wa maziko hayo
 Wanakwaya wakiimba nyimbo za maombolezo wakati wa mazishi hayo
 Shemasi wa Kanisa la Katoliki aliyeendesha ibada ya maziko akisimika msalaba kwenye kaburi la marehemu Antoni
                                                     Kaburi la marehemu Antony

                                  Mmoja wa ndugu wa karibu wa marehemu akiweka shada la maua 
Baadhi ya ndugu wa marehemu Antony Mwenda wakiwaka shada la maua kwenye kaburi

Aliyekuwa Rafiki wa karibu wa marehemu Antony, Mudy akiweka shada la maua

Post a Comment

Previous Post Next Post