RAIS KIKWETE AKUTANA NA MWENYEKITI MTENDAJI WA COCACOLA NA MWENYEKITI MTENDAJI WA PAN AFRICAN ENERGY
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,
akizungumza na Mwenyekiti Mtendaji Mkuu wa kampuni ya CocaCola, Muhtar
Kent, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi kwa
mazungumzo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mwenyekiti mtendaji Mkuu wa
Kampuni ya Pan African Energy BwanaDavid Lyons, ikulu jijini Dar es
Salaam leo asubuhi Picha na Freddy Maro.


Post a Comment