RAISI WA ZAMANI WA LIBERIA CHARLES TAYLOR AHUKUMIWA MIAKA 50 JELA
Mahjaji
katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC wamemuhukumu
kifungo cha miaka 50 jela Raisi wa zamani wa Liberia baada ya kukutwa na
makosa 11 ya kuwasaidia waasi wa Siera leon na kusababisha vifo vya
watu zaidi ya 50,000 kwa kuwapa silaha na kubadilishana na almasi.Taylor
amekuwa ni raisi wa kwanza kuhukumiwa na mahakama hiyo tangu vita vya
pili vya dunia na atatumikia kifungo hicho katika gereza la uingereza.

Post a Comment