Maelfu ya watu wameshiriki kwenye maandamano dhidi ya serikali katika mji mkubwa kabisa wa Morocco, Casablanca.Wanawalaumu wakuu kuwa hawakutimiza mabadiliko waliyoahidi wakati wa maandamano ya mwamko wa mwaka jana.
Serikali ya Kiislamu ya wastani ilichaguliwa mwezi wa Novemba, baada ya Mfalme Mohammed kuchukua hatua kupunguza madaraka yake.
Chanzo:- BBC Swahili
Post a Comment