Waziri Mpya Wa Maliasili na Utalii Balozi Khamisi Kagasheki na Naibu Wake Lazaro Nyalandu Waanza Kazi Rasmi Baada Ya Kukabidhiwa Wizara na Aliyekua Waziri Wa Maliasili na Utalii Ezekieli Maige

Waziri
wa maliasili na utalii Mh; Balozi Khamisi Kagasheki akiongea na
waandishi wa habari mara baada ya kukabidhiwa ofisi rasmi leo ambapo
amesema watendaji wote walioguswa na kashfa mbalimbali katika wizara
hiyo watachukuliwa hatua za kisheria mara moja iwezekanavyo.

Naibu
Waziri wa maliasili na utalii Mhe. Lazaro Nyarandu akisisitiza jambo
katika hafla hiyo ya makabidhiano ya ofisi iliyofanyika leo katika
wizara ya maliasili na utalii.

liyekuwa
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Ezekieli Maige katika Akiongea na
waandishi wa habari leo .katika. Hafla ya kukabidhi ofisi kwa waziri
mpya wa wizara hiyo Mh Balozi Khamis Kagasheki ambaye ni wa kwanza
kushoto na Naibu Waziri wake Mhe.Lazaro Nyarandu ambaye ni wa kwanza
kulia.katika ukumbi wa mikutano wa wizara ya maliasili na utalii jijini
Dar es salaam.
chanzo:- Dar es Salam Yetu
Post a Comment