

NYOTA WA MCHEZO: Mario Balotelli akishangilia bao lake la pili

1 - 0: Balotelli anamzidi ujanja Holger Badstuber na kumtungua tManuel Neuer

MIKONO JUU: Neuer akitunguliwa bao la kichwa na Balotelli


HAKUNA MTU: Ballotelli la pili

HAKUNA MTU: Ballotelli anafunga la pili

KADI: Refa Mfaransa Stephane Lannoy akimpa kadi ya njano Balotelli kwa kishangilia kifua wazi
SUPER Mario Balotelli amefunga mabao mawili usiku huu na kuiwezesha
Italia kuitoa Ujerumani kwa kuifunga 2-1 katika Euro 2012 na kutinga
fainali, ambako itamenyana na Hispania mjini Kiev.
Post a Comment