Italia imetoka sare 1-1 hivi punde na Hispania katika Euro 2012. Italia
walitangulia kupata bao, ambalo lilitiwa kimiani na Antonio
Di Natale dakika ya 60 aliyetokea benchi kuchukua nafasi ya Mario
Balotelli,
kabla ya Cesc Fabregas kuisawazishia Hispania dakika nne baadaye.
Pichani Fabregas akifunga bao la kusawazisha.
Post a Comment