IVORY COAST YAIFUNGA TAIFA STARS 2-0 ABDIJAN IVORY COAST

Mpira umekwisha huko Abdijan Ivory Coast katika uwanja wa Felixs
houphouet Boigny kati ya Taifa Stars na timu ya taifa ya huko,ambapo
Mchezaji Solomon Kalou wa Ivory Coast ameifungia timu hiyo goli la
kwanza, ikiwa ni makosa ya mabeki wa Taifa Stars , Taifa Stars
haijapata kitu katika mchezo huo.
Goli la pili limefungwa na mchezaji Didier Drogba ambaye pia anacheza katika klabu bingwa ya Ulaya Chealsea ya Uingereza.
Post a Comment