JUMA NYOSO HUYOO YANGA - TETESI

JUMA NYOSO HUYOO YANGA - TETESI

BEKI WA SIMBA JUMA NYOSSO MUDA WOWOTE KUANZIA HIVI SASA HUENDA NAYE AKASAINI KWA AJILI YA KUJIUNGA NA YANGA.
TAARIFA  KUTOKA KWENYE CHANZO CHA KUAMINIKA KIKOSI KAZI CHA YANGA TAYARI KIPO KWENYE KAMBI YA TIMU YA TAIFA KWA AJILI YA KUMALIZANA NA BEKI HUYO .

Post a Comment

Previous Post Next Post