KIFUKWE NA MANJI SI WADHAMINI HALALI WA YANGA!

KIFUKWE NA MANJI SI WADHAMINI HALALI WA YANGA!

Mwananchama wa Yanga bwana Abeid.A. Abeid ameibuka na kuwekea pingamizi uchaguzi wa klabu ya Yanga kwa kile anachodai katiba iliyotumiwa na wagombea si halali.
Bwana Abeid ambaye aliwahi kuwa mweka hazina wa Yanga siku za nyuma pia amedai ndugu Yusuf Manji na ndugu Francis Kifukwe si wadhamini halali wa Yanga.

Post a Comment

Previous Post Next Post