Lori laua wawili na kujeruhi vibaya wengine nane kibaoni-tegeta jijini dar leo, Tunaomba Radhi kwa picha mtakazo ziona kutoka eneo la tukio
Wananchi
wa eneo la Tegeta Kibaoni, jijini Dar es Salaam wakisaidiani na polisi
kuupakiza mwili wa mmoja wa mwananchi kwenye gari kati ya watu waliokufa
katika ajali iliyotokea baada ya Lori la mchanga kupata hitilafu ya
breki na kuacha barabara na kugonga Daladala kabla ya kuvamia baa na
kusababisha vifo vya watu wawili papo hapo na wengine nane kujeruhiwa
leo.Picha kwa hisani ya MOBILE STUDIO 2002.
Wananchi
wa eneo la Tegeta Kibaoni, jijini Dar es Salaam wakijaribu kutoa mwili
wa mmoja wa mwananchi kati ya watu waliokufa katika ajali iliyotokea
baada ya Lori la mchanga kupata hitilafu ya breki na kuacha barabara
na kugonga Daladala kabla ya kuvamia baa na kusababisha vifo vya watu
wawili papo hapo na wengine nane kujeruhiwa leo.Picha kwa hisani ya
MOBILE STUDIO 2002.
Chanzo Blog ya Michuzi
Post a Comment