Ripoti kutoka Damascus
zinaonesha mapambano makali baina ya wanajeshi wa serikali na wapiganaji
wa upinzani yametokea katika mji mkuu.Kinu cha umeme kilishambuliwa na moshi ulitanda.
Basi lilobeba wafanyakazi wa sekta ya mafuta kutoka Urusi lilipigwa.
Mashahidi wanasema wapiganaji wengi waliohusika waliuwawa au kukamatwa.
Haijulikani jeshi la serikali lilipata hasara gani na wakuu mjini Damascus hawakusema kitu juu ya tukio hilo.
Chanzo:- BBC Swahili
Post a Comment