Kaka mkubwa wa marehemu
aliyekuwa Mhariri Mkuu wa gazeti la Jambo Leo, Willy Edward Ogunde, George
Ongiri Ogunde (wa kwanza kulia) akishirikiana na ndugu, jamaa na waandishi wa
habari, kubeba mwili wa mhariri huyo, aliyefariki dunia ghafla jana usiku eneo
la Forest Hill, mjini Morogoro. Mwili huo ulikuwa unatolewa chumba cha
kuhifadhia maiti Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro kwa ajili ya
kusafirishwa kwenda jijini Dar es Salaam kwa maandalizi ya mazishi katika Kijiji
cha Mugumu kilichopo wilaya ya Serengeti, mkoani, Mara.. (PICHA ZOTE NA JUMA
MTANDA BLOG) |
Post a Comment