Pinda Akiwa Luanda
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Bernard Membe (kulia) wakizungumza na Rais wa Zambia,
Michael Santa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi Jumuiya ya Maendeleo
Kusini mwa Afrika SADC uliofanyika Juni 1, 2012, Luanda Angola.
Mheshimiwa Pinda alimwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano huo.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia katika mazungumzo kati yake na Waziri
Mkuu wa Kwanza wa Namibia, Hage Geigob wakati walipokutana katika
Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika
SADC, Luanda , Angola Juni 1, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment