PIUS KISAMBALE AONDOKA RASMI YANGA - ASAINI COASTAL UNION

PIUS KISAMBALE AONDOKA RASMI YANGA - ASAINI COASTAL UNION

Pius Kisambale akitia saini mkataba wa miaka miwili kuichezea Coastal Union
Klabu ya Coastal Union ya Tanga imeendelea kuitunisha misuli kwenye soko la usajili hapa Tanzania.


Leo hii klabu hiyo imemsajili rasmi kiungo Pius Kisambale kutoka Dar Young African kwa mkataba wa miaka miwili.


Kisambale ambaye ni mdogo wa damu wa kiungo wa kimataifa wa Tanzania, Athumani Idd Chuji, amejiunga na Coastal Union akitokea Yanga ambayo alikaa nayo kwa msimu mmoja.

Post a Comment

Previous Post Next Post