Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya
pamoja na Viongozi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii na shirika la Nyumba la Taifa
mara baada ya kikao maalumu kilichofanyika ikulu mjini Dodoma leo. viongozi Wengine
waandamizi w aliohudhuria kikao hicho Naibu Waziri wa Ardhi Goodluck ole
Medeye(watatu kushoto),Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue(Wanne kushoto),Gavana
wa Benki Kuu Professa Beno Ndulu(kulia) na naibu katibu Mkuu Hazina Dr.Servacius
Likwelile(kushoto). Katika kikao hicho Mheshimiwa Rais aliwapa changamoto
viongozi hao kuunganisha nguvu na kubuni
mikakati itakayowezesha kuwapatia watumishi wa umma nyumba za kuishi. |
Post a Comment