VAN PERSIE DILI LINGINE LATUA ARSENAL

KLABU ya Paris Saint-Germain imeungana na Manchester City katika mbio za kuwania saini ya Nahodha na mshambuliaji wa Arsenal, Robin van Persie.
Habari kamili: Daily Mail
Wakati huo huo  BEKI wa Liverpool, Martin Skrtel amezikaushia tetesi za kumhusisha na mpango wa kuhamia Manchester City.

KLABU ya Wolves iko tayari kumtwaa beki wa Manchester Cit, Stefan Savic kwa mkopo.

Post a Comment

Previous Post Next Post