ZIARA YA NAPE SONGEA,

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, akisalimia wazee baada ya kuwasili Kata ya Tanga, wilani Songea  ambako yalifanywa mapokezi yake.

Nape akizindua mradi mabanda 119 ya biashara eneo la Mshengano,Songea. Vibanda hivyo vya CCM vimejengwa na CCM kwa sh. milioni 206



Nape akimtuza kijana wa Madrasaatul  Nabai ya Masigira, baada ya kijana huyo kuomba dua alipowasili mjini Songea




Msafara wa pikipiki ukiongoza msafara wa  Nape kwenda Uwanja wa Maji Maji.




Nape akishiriki kucheza ngoma baada ya kuwasili Uwanja wa MajiMaji.



  Nape akisalimia wananchi alipowasili Uwanja wa Maji Maji Songe kuhutubia mkutano wa hadhara






Nape akipita kwenye kanga zilizotandikwa na kina mama waliovutiwa na hotuba yake




Nape akiagana na wananchi wa Songea waliojitokeza kwa wingi katika uwanja wa majimaji kuja kumsikiliza.
Nape akisisitiza jambo alipokuwa akihutubia mamia ya wakazi wa songea walipojitokeza kuja kumsikiliza katika uwanja wa majimaji

Post a Comment

Previous Post Next Post