AZAM FC NA TUSKER HAKUNA MBABE

Kikosi cha Azam
Mechi kati ya Azam na Tusker ya Kenya imeisha kwa kugawana point 1 - 1, baada ya kutoka bila ya kufungana katika uwanja wa Taifa Dar es Salam, Timu zote za Kundi B zimemaliza zikiwa na pointi mbili kila moja, Tusker haina bao baada ya kutoa sare ya bila kufungana mechi zote na Mafunzo na Azam wanabebwa na sare ya kufungana bao 1-1 katika mechi ya kwanza kabisa ya kundi hilo, Uwanja wa Chamazi.

Post a Comment

Previous Post Next Post