CHAMA CHA MADAKTARI CHAWASILISHA MAOMBI UN YA ULINZI KWA VIONGOZI WAKE
Hisia0
Julai 9, 2012 Chama Cha Madaktari
(MAT) kimewasilisha maombi ya ulinzi kwa Viongozi wake na Dkt. Ulimboka
(Mwanachama wao) kwa Uongozi wa Umoja wa Mataifa (UN) kama
yanavyoonekana juu.
Post a Comment