Chameleone akiingia uwanjani kuwarusha mashabiki waliofurika Uwanja wa Taifa usiku huu.
Jose akiimba na maelfu ya wapenzi wa burudani waliofurika ndani ya Uwanja wa Taifa usiku huu.
Sehemu ya maelfu ya wakazi wa jiji la Dar waliokuwa wanafuatilia shoo hiyo.
—
Mwanamuziki
mahiri kutoka nchini Uganda, Joseph Mayanja ‘Jose Chameleone’ usiku wa
leo amefunika vilivyo katika Tamasha la Usiku wa Matumaini
lililofanyika ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Chameleone
aliwarusha mashabiki kwa baadhi ya nyimbo zake za zamani kama Mambo
bado, Kipepeo na ile mpya iitwayo Valu Valu inayopendwa na watu wengi
hapa Bongo.
(PICHA ZOTE NA WAPIGA PICHA WA GPL WALIOKUWA UWANJA WA TAIFA/GPL)
Post a Comment