RAGE AMTIA PINGU MILOVAN KABLA YA KUPANDA BOTI

RAGE AMTIA PINGU MILOVAN KABLA YA KUPANDA BOTI


Kocha wa Simba SC, Milovan Cirkovick akisaini mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kuifundisha Simba SC mwishoni mwa wiki (Jumamosi) katika hoteli ya Serena, Dar es Salaam kabla ya kwenda Zanzibar na timu hiyo jana kwenye michuano ya Urafiki. Kulia ni Mwenyekiti wa Simba SC, Alhaj Ismail Aden Rage akishuhudia Mserbia huyo anavyojitia pingu za kuendelea kuwatumikia wana Msimbazi.

Post a Comment

Previous Post Next Post