Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein,akitoa Risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan,kwa wananchi
na kuwataka kufanya Ibada kwa Bidii,hata hivyo Mhe, Rais aliwakumbusha
wananchi kufanya mambo muhimu yaliyowajibu kufanywa katika mwezi huu
ili kufanikiwa hapa Duniani na kesho Akhera twendako.
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu. |
Post a Comment