Rais Kikwete azungumza na Makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini Kgalema Montlante
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu
Makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini Kgalema Motlante wakati mgeni huyo alipomtembelea
Rais jana jioni.kulia ni makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika
mazungumzo na makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini Kgalema Motlante(kushoto)
ikulu jijini Dar es Salaam Jana jioni.Kulia nia Makamu wa Rais Dkt.Mohamed
Gharib Bilal(picha na Freddy Maro)
Post a Comment