Usajili wa magari kwa kutumia majina Binafsi waanza TRA

Kuanzia
mwaka mpya wa fedha (2012-2013) Mamlaka ya Mapato Tanzania imeanza
kusajili magari kwa kutumia majina ikiwa ni nyongeza ya kutumia namba
kama ilivyokuwa imezoeleka na wengi. Pichani juu na chini ni gari la
kwanza kupewa usajili huo wa kutumia jina la mmiliki wake.

Picha na Blog ya http://wotepamoja.com
Post a Comment