MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Robin van Persie anatarajiwa kujumuika
kwenya kikosi cha timu yake katika ziara ya kujiandaa na msimu mpya bara
la Asia, Beijing Jumamosi ijayo, iwapo Manchester City, au Juventus
hawatafanikiwa kukamilisha uhamisho wake mapema.
MCHEZAJI mpya wa Arsenal, Lukas Podolski amemtaka mshambuliaji Robin van
Persie, ambaye amesema hatasaini mkataba mpya wakati huu wa sasa
unamalizika mwishoni mwa msimu ujao, kubaki katika klabu hiyo
Post a Comment