Wanachama wa CCM kata ya Kivukoni wafanya uchaguzi
Wanachama wa ccm kata ya Kivukoni
wamefanya uchaguzi wa viongozi wote wa kata ambao wataendelea na uongozi
wa kata hiyo kwa mujibu wa utaratibu wa chaguzi zao zilivyo.
Uongozi wa zamani wakipunga mkono wa kwaheri na kuwakaribisha watakaochaguliwa,wakiwa katika ukumbi wa marimjee julai 07/2012. picha na www.habarimpasuko.blogspot.com
Aliyekuwa mwenyekiti wa ccm kata ya Kivukoni jijini Dar Es Salaam ndg.Egnas Augustine wakati akinadi sera zake.picha na www.habarimpasuko.blogspot.com
Hawa ni wajumbe waliohudhuria uchaguzi huo jana julai 07/2012, picha na www.habarimpasuko.blogspot.com



Post a Comment