AZAM KUWAPOKONYA SIMBA NGASSA WAO, KISA REDONDO

AZAM KUWAPOKONYA SIMBA NGASSA WAO, KISA REDONDO

Ngassa akibusu jezi ya Yanga
AZAM FC inafikiria kusitisha mpango wa kumtoa kwa mkopo katika klabu ya Simba SC, kiungo wake Mrisho Khalfan Ngassa, kufuatia kitendo cha Wekundu hao wa Msimbazi, kumsajili ‘kibabe’ kiungo wao mwingine, Ramadhan Chombo ‘Redondo’.
“Tunapitia sheria na kanuni za usajili wa mkopo kuona kama tunaweza kufanya hivyo, tukigundua tunaweza, tunawapokonya mchezaji wetu, si watu waungwana hawa, na hatutahitaji tena uhusiano wa aina yoyote na wao, labda klabu ipate viongozi wengine, si hawa wa sasa,”alisema kiongozi mmoja wa Azam, Kwa habari zaidi bofya hapa

Post a Comment

Previous Post Next Post