![](http://4.bp.blogspot.com/-meJpnC3wr34/UDYhhpryQnI/AAAAAAAALMo/-1arV6hEnfM/s400/IMAG0168.jpg)
Fainali
za bibi bomba zilikamilika usiku wa jana katika viwanja vya ofisi za
Clouds Fm na Tv, ambapo kati ya mabibi nane waliokuwa wameingia fainali,
hatimae walipatikana washindi wawili walioondoka na mkwanja mrefu. Bi
Veronica Mpangala wengi wanamjua kama tukinaaaooo ambae alikuwa ni mmoja
kati ya mabibi waliokuwa wakifurahisha sana kwenye mjengo kwa ucheshi
wakendie aliekuwa mshindi namba moja na kuondoka na shilingi milion 5
akifatiwa na mshindi wa pili aliechukua shilingi milioni tatu
Picha/ http://djfetty.blogspot.com
![](http://3.bp.blogspot.com/-HQJVnMqGoEU/UDYhrR2nOFI/AAAAAAAALMw/ALk1xzIeitQ/s400/IMAG0088.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-S2PD8bPCYUc/UDYhzSDfuSI/AAAAAAAALM8/OvxpnKEFfnQ/s400/IMAG0098.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-WMJ3pvk_LCg/UDYiswEppTI/AAAAAAAALNM/BTpkO3tNDM8/s400/IMAG0162.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-P5XH74gdXnc/UDYnzRWN78I/AAAAAAAALNs/0tOKRLuPrI4/s400/IMAG0094.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ShMmU8BSX84/UDYn8X7xDrI/AAAAAAAALN0/Zg4OyXNQTPs/s400/IMAG0139.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-kpk7DeMvJNc/UDYoJ_D7qGI/AAAAAAAALOA/IbNYQ98H2L0/s400/IMAG0145.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-VNAzD8RU4w0/UDYoRd7pJqI/AAAAAAAALOI/Q9q1lFcHt68/s400/IMAG0166.jpg)
Post a Comment