CAZORLA, GIROUD, PODOLSKI WAKIJIFUA NA ARSENAL UJERUMANI
![]() |
| "Jembe" jipya la Gunners, Santiago Cazorla likishiriki mazoezi na timu yake ya Arsenal nchini Ujerumani ambako wameenda kwa ajili ya kambi ya maandalizi ya msimu mpya. |
![]() |
| Huyu naye anatakiwa na Barcelona... Alex Song akipozi kwa picha wakati wa mazoezi ya Arsenal nchini Ujerumani |
![]() |
| Sijui nibaki hapa.....!? RVP akishiriki mazoezi nchini Ujerumani |
![]() |
| Msimu mpya si uanze tu, nina usongo.... Kiungo mpya wa Arsenal, Santiago Cazorla akiwa mazoezini na Arsenal nchini Ujerumani |
![]() |
| Ngoja nipozi kwa picha... huyu ni Theodore Walcott |
![]() |
| Mashine nyingine mpya... Lukas Podolski (kulia) akisimama jirani na Oxlade-Chamberlain |
![]() |
| Pasha baba.... Cazorla akipasha |
![]() |
| Ngoja nijipumzikie mie sina haja ya kujitesa kujua mbinu zake yule babu Wenger, maana sitarajii kuzitumia nikiwa Man United... RVP akipumzika |
![]() |
| Van Persie wewe ondoka tu mi nipate namba ya uhakika, nisije nikawa kama Chamakh bureee... Mshambuliaji mpya wa Arsenal, Olivier Giroud akishiriki mazoezi ya timu hiyo nchini Ujerumani |
![]() |
| Ha ha haaaa.... Anatuchekesha sana RVP na hizo "nataka-sitaki" zake... Mabeki wa Arsenal, Laurent Koscielny (kushoto) na Verminator wakifurahia jambo wakati wa mazoezi ya timu yao nchini Ujerumani |
![]() |
| Kama Usain Bolt kudadadeki... Verminator akitoka nduki wakati wa mazoezi ya Arsenal nchini Ujerumani |
![]() |
| Lazima uwe ngangari hapa, hata wakisvuta shati wewe uwe unakimbia tu... Cazorla (kulia) akikimbia huku akivutwa nyuma wakati wa mazoezi ya Arsenal nchini Ujerumani |
![]() |
| Sijatwaa makombe miaka kibao, mwaka huu nikikosa tena naona watanitimua... Babu Wenger akiondoka uwanjani baada ya kumalizika kwa mazoezi |
![]() |
| Santi Cazorla akipasha |
![]() |
| Wachezaji wa Arsenal nchini Ujerumani |
![]() |
| Mwenzenu hapa niko kwetu.... Lukas Podolski akifurahi wakati wa mazoezi ya Arsenal nchini kwao Ujerumani |
![]() |
| RVP |
![]() |
| Santiago Cazorla |
![]() |
| Kiberenge cha Arsenal hiki... Alex Oxlade Chamberlain |





















Post a Comment