Eggy wa Masogange amlaumu SINTAH kwa kuvujisha video yake ya utupu

Kama umeshaiona video ya Masogange ya Belle 9,  tunaamini unamfahamu msichana mrembo aliyemo humo. Jina lake ni Agness na ni miongoni mwa ma video girls wakali zaidi Bongo.

So hivi karibuni ilivuja video yake inayomwonesha akiwa mtupu. Kwenye picha za video hiyo mrembo huyo aliyebarikiwa mzigo wa maana kule nyuma, anaonekana akiwa na nguo ya ndani tu pamoja na bra huku akishake her ass like a pornstar!


Kuna picha nyingine anaonekana akikiss na boyfriend wake.

Chanzo cha kuvuja kwa video hiyo anasema ni kuwa digital camera yake ilipotea ndani mwake wakati yeye akiwa nje ya nchi. Anamshutumu Sintah kuwa yeye ndo aliisambaza.

Akiongea na Power Jams ya East Africa Radio hivi karibuni Agness amesema hajafurahishwa na kitendo cha kuanikwa hadharani na Sintah na alipanga kuchukua hatua lakini washauri wake wamemsihi asifanye hivyo zaidi ya kumwachia tu Mungu.
Sikiliza alichoongea hapa chini

Post a Comment

Previous Post Next Post