FLAMENGO YAMNYAKUA ADRIANO

Adriano
Flamengo ya Brazil imetangaza rasmi kumsajili Adriano kama
mchezaji huru na mshambuliaji mwenye nguvu aliyekuwa huru baada ya
kuondoka Corinthians mapema mwaka huu, sasa atadumu na Rubro-Negro hadi
mwishoni mwa mwaka huu.
Post a Comment